ads

Nilipenda Kuwa Producer Tu,Sikutegemea Kama Nitakuja Kuimba Tekno

If you feel your rights are being infringed upon, email hassbaby@gmail.com for take down
Nilianza muziki kimasihara sana nilikuwa napenda kuwa producer tu nilijikuta naimba sikujua kama itafikia mda naweza tamani kuimba tu na kucheza nikawa na mis mpaka kutengeneza beat ila mungu ni waajabu nashukuru mpaka sasa nilipo fikia .

Nilipotoa Holiday na davido ilipokelewa ila haikuwa zaidi ya sasa ambapo nikitoa nyimbo kila mtu anakuwa anataka kusikia nimefanya kitu gani namini taratibu naendelea kuwapa watu vitu vinavyo wafurahisha kama Duro ,Wash nazingine nyingi zinakuja nachopenda kusema wasinitupe mi mtu wao nitaendelea kuwapa vikali kila itwapo leo.

Nilipenda Kuwa Producer Tu,Sikutegemea Kama Nitakuja Kuimba Tekno Nilipenda Kuwa Producer Tu,Sikutegemea Kama Nitakuja Kuimba Tekno Reviewed by Tshepo on June 18, 2016 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.