Model Wa Video ya Nuh Mziwanda Afunguka Yeye Mzuri zaidi Ya Shilole

Shilole amepata mpinzani! Si mpinzani wa kawaida kamawengine bali ni msichana anayefanana naye kama pacha
Infact model huyo anaitwa Zena na ikumbukwe kuwa jinahalisi la Shishi ni Zuwena Mohamed!
Ni kama vile wawili hawa walipotezana siku ya kuzaliwa.Anyway turejee kwenye pointi ya msingi. Unakumbuka Shilolealiwahi kudai kuwa yeye ndiye muimbaji wa kike mrembokuliko wote Bongo? Zena aka Jike Shupa hakubaliani na hilo..“Kwakweli mimi namuona wa kawaida tu,” Zena aliiambiaClouds E. “Akumbuke na mimi mzuri kuliko yeye,” aliongezakwa madaha.
Tangu video ya wimbo huo itoke, uadui kati ya NuhMziwanda na Shilole umeongezeka maradufu. Nuh ameitumiavideo ya wimbo huo aliomshirikisha Alikiba kuonesha jinsiuhusiano wake na Shishi ulivyokuwa na matatizo ikiwemokupigwa mara kwa mara na Shishi hajapenda!

Model Wa Video ya Nuh Mziwanda Afunguka Yeye Mzuri zaidi Ya Shilole
Reviewed by Tshepo
on
June 16, 2016
Rating:

No comments: