ads

Uongozi Changamoto Kubwa Ilikuwa Kumshawishi Belle 9 Ahamie Dar

If you feel your rights are being infringed upon, email hassbaby@gmail.com for take down


Uongozi wa kampuni ya Vitamin Music Group unaomsimamia
Belle 9, umedai kuwa mtihani mkubwa uliokuwa nao ni
kumshawishi Belle 9 ahamie Dar.

Muimbaji huyo alihamia Dar mwaka jana baada ya kuendelea
kuishi kwao Morogoro licha ya kuwa staa tayari.

Akiongea kwenye XXL cha @cloudsfmtzwakati wa utambulisho
wa remix ya Bulger Movie Selfie, meneja wake alidai kuwa
ilibidi Belle ahamie Dar kutokana na kuwa kitovu cha
burudani Tanzania.
.
“Ilikuwa ni issue ngumu sana kuweza kwasababu Belle 9 ana
familia kule kwahiyo kumtoa Morogoro kumleta Dar ilikuwa ni
issue kubwa sana,” alisema meneja wake.

Amesema uamuzi huo ulirahisisha mambo mengi.

Uongozi Changamoto Kubwa Ilikuwa Kumshawishi Belle 9 Ahamie Dar Uongozi Changamoto Kubwa Ilikuwa Kumshawishi Belle 9 Ahamie Dar Reviewed by Tshepo on June 16, 2016 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.