Prince Hdv: Nafanya Movie Njaa Maana Najua Nilipotoka Na ninapoenda Sijafika Bado

Najiamini Kwa Kile nachokifanya ingawa sijafika napotaka kupafikia namini mungu atanisimamia nitafika Sana'a yangu ndio maisha yangu ndio maana ninakaza sana na kufanya kwa njaa kubwa tangu kwenye Movie kama Pumu,Akili Nyingi nazingine nyingine nyingi zinakuja.
Najua penye ukweli uongo ujitenga napenda mashabiki wangu waendele kusupport Harakati zangu nawahakikishia sita wangusha kwa kila nitakachofanya Mimi pamoja na team yangu ya pricerommyflm Alisema Prince Hdv muigizaji anayekuja kwa kasi katika tasinia ya filamu hapa nyumbani Tanzania Wakwetu.

Prince Hdv: Nafanya Movie Njaa Maana Najua Nilipotoka Na ninapoenda
Sijafika Bado
Reviewed by Tshepo
on
June 16, 2016
Rating:

No comments: