Kuna muda napokuwa mbali na mwanangu kutokana na kazi yangu nakosa raha kabisa ila nikiwa nae nakuwa na furaha sana namini nizawadi tosha kwangu.
No comments: